
Vijana na Mapenzi Podcast: Mke hataki ku'rent nyumba; anaishi kwa wazazi. Ni sawa?
Ali 💕
12 min
Kids
تفصیل
Ni jambo la kawaida wakati msichana anapoolewa aende kuishi na mumewe. Hata hivyo, kuna msichana anayesema yeye atabaki kwao kwani ni karibu na anakofanyia kazi na kukodi nyumba ya kuishi na mumewe ni gharama kwani anakofanyia kazi mume huyo ni mbali. Vijana wanatoa kauli zao huku mshauri, Rachel Mahungu akitumia utaalam wake kutoa ushauri kwa vijana
اپ لوڈر
اقساط
1
Vijana na Mapenzi Podcast: Mke hataki ku'rent nyumba; anaishi kwa wazazi. Ni sawa?
Ali 💕