VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Je, mvulana anafaa kumtumia msichana 'fare' ili wapatane kwa 'date'?
Ali ๐
7 min
Kids
Description
Baadhi ya wanaume wamekuwa wakilalamikia 'kuliwa' kwa nauli wanazowatumia wasichana ili wapatane katika date kauli maarufu ikiwa 'kula fare'. Katika awamu hii ya kipindi cha Vijana na Mapenzi tunauliza swali je, ni sawa kwa mvulana kumtumia msichana 'fare' ili wapatane kwa 'date'? Tumepata hisia za wananchi kulihusu suala hili, vilevile ushauri wa Mwanasosholojia, Alex Munyere.
Uploader
Episodes
1
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Je, mvulana anafaa kumtumia msichana 'fare' ili wapatane kwa 'date'?
Ali ๐