Tanzania na Indonesia zinaboresha uhusiano wa nchi hizo mbili ukiwalenga hasa vijana katika uongozi wa kizazi kipya chenye mawazo mapya - Novemba 06, 2023
Fadima Ceesay
29 min•174 plays
News
Description
VOA Express ni matangazo mapya yenye mwendo wa kasi yakiangalia habari mpya za mchana na maelezo ya maswala yanayohusu vijana na wanawake. Matangazo haya yanafuatilia habari zilizojitokeza nyakati za mchana na ripoti za kina za habari ambazo hazisikiki sana katika matangazo mengineyo.
Uploader
Episodes
1
Tanzania na Indonesia zinaboresha uhusiano wa nchi hizo mbili ukiwalenga hasa vijana katika uongozi wa kizazi kipya chenye mawazo mapya - Novemba 06, 2023
Fadima Ceesay