
Sababu Sita (06) Za Kwanini Unapaswa Kuacha Tabia Ya Kulalamika Kwenye Maisha Yao.
Chancelvie Djemissi
18 min•174 plays
Kids
Description
Je una tabia ya kulalamika kwenye maisha yako? Inawezekana unalalamikia wazazi, walezi, ndugu, marafiki, mpenzi, serikali, mfumo wa elimu, majirani zako n.k kuwa sababu ya wewe kuwa hapo. Lakini kumbuka hakuna faida ya wewe kulalamika kwa maana hiyo hii episode ni sahihi kwako na kuwa daraja kwa watu wenye tabia ya kulalamika kuacha na kuanza kuwajibika. Sikiliza na ujifunze... --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
Uploader
Episodes
1
Sababu Sita (06) Za Kwanini Unapaswa Kuacha Tabia Ya Kulalamika Kwenye Maisha Yao.
Chancelvie Djemissi