
Sababu Saba (07) Za Kwanini Unapaswa Kujua Nguvu Ya Mabadiliko Kwenye Maisha Yako.
Chancelvie Djemissi
16 min•523 plays
Kids
Description
Je Unataka kubadili mfumo mzima wa maisha yako, mtazamo wako, aina ya marafiki, namna unavyofanya, mahusiano yako, biashara yako, Huduma yako n.k? Basi episode hii itakupa ufahamu wa nguvu wa mabadiliko kwenye maisha yako na kuweza kuchukua hatua Ili upate mabadiliko . Sikiliza mpaka mwisho upata kujua kwanini unaweza kupata mabadiliko kwenye eneo lolote ambalo upo --- Send in a voice message: https://podcasters.spotify.com/pod/show/maishanikuthubutu/message
Uploader
Episodes
1
Sababu Saba (07) Za Kwanini Unapaswa Kujua Nguvu Ya Mabadiliko Kwenye Maisha Yako.
Chancelvie Djemissi