
Rose Muhando - Ombi Langu (Official Music Video) SKIZA CODE - 5964896
Rose Muhando
6 min•643362 plays•872 favorites
GospelCover
Description
Ni OMBI LANGU kwa Bwana, taifa langu la Tanzania litambue uwepo wake, Kanisa lisimame na kuimarishwa, uhalisia wa Mungu udhihirike kwa watu wake. Ni ombi langu kwa Bwana Yesu, Mwaka Bwana akujibu OMBI LAKO Yesu, ajitukuze kwenye maisha yako, kila atayesikia amtukuze pamoja na wewe! #RoseMuhando #Ombilangu #MusicVideo
Uploader
Related Works
Episodes
1
Rose Muhando - Ombi Langu (Official Music Video) SKIZA CODE - 5964896
Rose Muhando