
Maana na Dhima ya Fasihi
Chloé
10 min
Religion
Description
<p>Mwalimu James Muhatia aeleza kiundani kuhusu maana na dhima ya Fasihi. Kupitia kipindi hiki, utaipata fursa ya kujua maana ya Sanaa. Kwa maelezo zaidi kuhusu Fasihi na masomo ya Kiswahili, mwandikie mwalimu Muhatia kupitia jamesmuhatia866@gmail.com.</p>
Uploader
Episodes
1
Maana na Dhima ya Fasihi
Chloé