VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Kijana alalamikia kuchezewa shere na mpenzi waliyepatana Facebook
Ali 💕
10 min
Kids
विवरण
Siku hizi, mitandao ya kijamii imekuwa ikitumiwa na wengi kujitafutia wachumba, wengine wamefaulu na wengine wakikosa. Kijana mmoja amewasilisha malalamiko yake kupitia podcast hii akisema hamwamini tena mpenziwe wanayechumbiana mtandaoni akihisi kwamba anamchezea shere. Je, aendelee na uhusiano huo na mwanadada ambaye hajawahi kukutana naye ana kwa ana ama aukatize?
अपलोडर
एपिसोड
1
VIJANA NA MAPENZI PODCAST: Kijana alalamikia kuchezewa shere na mpenzi waliyepatana Facebook
Ali 💕