Afrika Kusini yasifiwa kwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Dunia la Rugby - Oktoba 23, 2023
Fadima Ceesay
29 min
News
Description
Timu ya taifa ya Rugby ya Afrika Kusini imefanikiwa kuingia fainali ya michuano hiyo ya kombe la dunia baada ya kuishinda Uingereza kwa pointi 16-15 katika mchezo mkali na kusisimua ambao Uingereza walitawala kwa sehemu kubwa.
Diffuseur
Épisodes
1
Afrika Kusini yasifiwa kwa kuingia kwenye fainali za Kombe la Dunia la Rugby - Oktoba 23, 2023
Fadima Ceesay